2010

Karume aaga akizua utata Urais Zanzibar

Mwandishi Wetu

RAIS wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar (SMZ) Amani Abeid Karume ameanza kuaga huku kukiwa na utata kuhusu malengo yake ya baadaye kisiasa ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) ambacho yeye ni Ma

Vilio na furaha za ubunge

Paul Sarwatt

MCHAKATO wa kura za maoni kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ulimalizika Jumapili huku katika Mikoa ya Kanda ya Kaskazini, kama ilivyo kwa maeneo mengine nchini, ukiacha mchanganyiko wa furaha na sham

Dk. Slaa amtisha Kikwete Mwanza

Mwandishi Wetu

SASA ni dhahiri kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) mkoani Mwanza hakitapata usingizi katika uchaguzi mkuu wa mwaka huu kutokana na nguvu kubwa ya kisiasa iliyoonyeshwa na Chama cha Demokrasia na Ma

Ukiukwaji ulikuwa mkubwa Karagwe

Privatus Karugendo

UCHAGUZI Mkuu umemalizika. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar wameapishwa tayari. Madiwani, wabunge na wawakilishi wataapishwa siku si nyingi.

CCM iwaache Wazanzibari wapitishe mgombea urais wanayemtaka

Lula wa Ndali Mwananzela

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinaamini kuwa Wazanzibari wanaweza na kwa hakika wanayo haki ya kuamua hatima ya muundo wa serikali yao kiasi cha kukubali wafanye mazungumzo ya upatanisho bila msaada

Masha adaiwa kutumia uwaziri kupita Ubunge

Mwandishi Wetu

HATUA ya mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Nyamagana, Mwanza Lawrence Kego Masha kumwekea pingamizi mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai kuwa si ra

Hizi ahadi za uongo zinachusha, zinadhalilisha

Jenerali Ulimwengu

MAMBO yanayoweza kusababisha kuvunjika kwa amani si yale tu yanayozua ugomvi wa papo kwa papo, kama vile matusi, kejeli zilizopindukia na kadhalika, matendo ambayo kwa silika yake yanao uwezo wa

Kuna kila dalili CHADEMA kuwika Kanda za Juu Kusini

Felix Mwakyembe

KAMPENI zinaelekea ukingoni, zimesalia siku nne tu kwa Watanzania kuchagua viongoziwanaowaona watawafaa kuwatumikia, mchuanomkali katika mikoa ya Kanda ya Kusini na Nyanda za Juu Kusini umejidhihir

CCM: Ruksa kumvaa Kikwete

Mwandishi Wetu

VIGOGO wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wenye ubavu wa kumvaa Mwenyekiti wa chama hicho, Rais Jakaya Kikwete katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu, wataanza kujulikana Julai Mosi, mwaka huu, takriban si

Pages

Subscribe to 2010