MAUTI yanapotuzonga ghafla, tutakikaribisha kifo bila woga tukijua kwamba kilio chetu cha mapambano kimesikiwa japo na mtu mmoja, na kwamba atachukua silaha kuendeleza mapambano. Binafsi sijali kufa ilimradi atajitokeza mtu mwingine kuokota bunduki yangu na kuendeleza mapambano