Arusha

Bomu la CHADEMA kwa Pinda hadharani

Mwandishi Wetu

SAKATA la vurugu na mauaji yaliyotokana na maandamano ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), mkoani Arusha linaelekea kumuelemea Waziri Mkuu Mizengo Pinda.

VITA YA UMEYA: Siri yafichuka

Waandishi Wetu

NGUVU za ziada zinazotumiwa na Chama Cha Mapinduzi (CCM) na wakuu wa serikali kwa lengo la kung’ang’ania uongozi wa halmashauri za Mwanza, Arusha na Mbeya katika nafasi ya umeya, zin

Dalili za vurugu zaanza kujitokeza Arusha

Paul Sarwatt
HALI ya vurugu imeanza kujitokeza katika mchakato wa kampeni za uchaguzi mdogo wa nafasi za udiwani katika kata nne za Jiji la Arusha

Mabilioni yawarusha roho madiwani

Mwandishi Wetu

JIJI la Mwanza lenye utata wa kumpata meya wake unaohusisha madiwani wa CCM na CHADEMA, pamoja na Arusha ambako meya aliyechaguliwa anatarajiwa kupingwa mahakamani, yametengewa jumla ya Sh bilioni

CCM maji ya shingo Arusha

Mwandishi Wetu

TUNAPOELEKEA katika Uchaguzi Mkuu, viongozi wa kitaifa wa Chama cha Mapinduzi (CCM) wanahaha na kuelekeza nguvu na ushawishi waokisiasa katika majimbo kadhaa ya Mkoa wa Arusha ili kuyanusuru

Wiki ngumu CCM, CHADEMA

Waandishi Wetu
Nape Nnauye akihutubia mkutano wa kampeni Arusha
Vishindo vya Uchaguzi mdogo sasa vinatajwa kuakisi mwelekeo wa kisiasa, hususan kwa vyama vyenye ushindani wa karibuni kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2015

Mapokezi ya Dk. Slaa Karatu yawasha moto mpya Arusha

Paul Sarwatt

BAADA ya Mbunge  wa Karatu  kupata mapokezi makubwa  na  ya kihistoria wiki iliyopita  kutoka kwa wananchi wa Karatu, viongozi  kadhaa  wa Chama Cha Mapinduzi  (CCM) katika   mkoa wa Arusha  na

Mabilioni yaibwa Benki ya Exim Arusha

Mwandishi Wetu
Benki ya Exim, Arusha
WIZI mkubwa wa kutisha wa fedha za wateja umetokea katika Benki ya Exim, Tawi la Arusha na takriban shilingi bilioni saba zinadaiwa kuibwa

Yaliyotokea Arusha ni kulipiza kisasi kwa Kikwete na CCM?

Msomaji Raia

KUNA mfanano wa hali ya juu kati ya mauaji ya Zanzibar mwaka 2001 na ya Arusha yaliyotokea wiki iliyopita.

Pages

Subscribe to Arusha