BoT
HALI si shwari ndani na nje ya Serikali kuhusiana na matukio ya Benku Kuu (BoT) na sasa imebainika kwamba baadhi ya wanasiasa, wakiwamo mawaziri, wa sasa na wa zamani, wanatuhumiwa kuhusika na uf
BAADA ya kashfa ya Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA), Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Serikali sasa zinatishiwa na kashfa nyingine kubwa zaidi ya upotevu wa zaidi ya Sh.
HALI ya afya ya Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Dk.
SASA ni wazi, uongozi wa awamu ya tatu chini ya Rais mstaafu, Benjamin Mkapa ndio ulioshinikiza na kuidhinisha kuanzishwa kwa Kampuni ya Meremeta Gold, inayohusishwa na upotevu wa Sh bilioni 155,
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) na Serikali yake vi mtegoni, na itabidi kuamua kusuka ama kunyoa kwa kuwa kuna uwezekano mkubwa kwamba fedha zilizochukuliwa kutoka Benki Kuu (BoT) chini ya Mpango wa U
MAOFISA wa Benki Kuu (BoT) ambao wanatajwa kuhusika katika mchakato wa fedha za Akaunti ya Malipo ya Madeni ya Nje (EPA) katika benki hiyo, sasa wanaelezwa kujiandaa kupasua bomu kwa kuwataja vi
WARAKA unaoonyesha siri ya matukio ya ufisadi ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) umepatikana ukionyesha kwamba, sehemu kubwa ya watuhumiwa waliofikishwa mahakamani walitokana na mabadiliko yal
WAKUU wa Serikali na vigogo ndani ya Chama Cha Mapinduzi wanahaha kutokana na kashfa nzito ya wizi wa mabilioni Benki Kuu (BoT), na sasa wanafanya kila liwezekanalo ili kuwakinga baadhi ya watuhumi
MKURUGENZI Utumishi na Utawala wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba, amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, jijini Dar es Salaam akikabiliwa na mashitaka matatu, likiwamo
UAMUZI wa kupokea fedha zilizoibwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) bila kuwachukulia hatua wahusika, unaashiria uchafu na Serikali kukumbatia ufisadi waziwazi, imeelezwa.
Pages
Wasome zaidi Waandishi wa Raia Mwema