BENKI Kuu wanataka kula tena; wanataka kula bila kuulizwa na yeyote; wanataka kula huku tukiwatazama. Si huku tunawatazama tu bali wanataka wale huku tukiwapigia makofi kwa jinsi gani wanakula vizuri
WATANZANIA wengi bado wanalikumbuka sakata la ugomvi kati ya kampuni ya Independent Power Tanzania Limited (IPTL) na TANESCO kati ya mwaka 1999 na 2001 kuhusu gharama za ujenzi wa mtambo wa umem
TAARIFA za ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) zinaeleza kwamba taasisi hiyo nyeti nchini imekuwa haiwatumii ipasavyo watumishi wake waandamizi wenye elimu ya kutosha na badala yake imekuwa iki
MATUMIZI ya Sh trilioni 1.7 kuhami uchumi dhidi ya mtikisiko wa kiuchumi duniani ulioathiri kampuni za ununuzi pamba mikoa ya kanda ya ziwa na hatimaye kampuni hizo kumegewa sehemu ya fedha hizo
Wiki iliyopita Profesa Issa Shivji alitoa maoni yake kuhusu timu inayochunguza ufisadi kwenye Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) katika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) pamoja na ute
GAVANA wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Profesa Benno Ndullu, amesema wameshaanza mchakato wa kutekeleza maagizo ya Bunge kutaka kuziondoa mahakamani kesi hewa zilizofungiliwa na benki hiyo mahak
SASA ni wazi kwamba wizi mkubwa ulitokea BoT. Imetangazwa wazi na Katibu Mkuu Kiongozi Philemon Luhanjo. Hakuna ubishi tena kwamba ni uzushi, hakuna ubishi tena kwamba Dk.
NINA nyumba mbili, moja mtaa wa Mfaume, Upanga, jijini Dar es Salaam, na nyingine iko Masasi. Nina shamba la ekari 10 eneo la Kimara, jijini Dar es Salaam, na ekari tatu za ardhi zisizoendelezwa eneo la Kigamboni, Dar es Salaam
Mkapa na ekari zake 3
Maoni ya Wasomaji
Hii serikali kweli haina huruma na haidhamini wananchi wake. inaelekea GPSA imetekwa na mafisadi papa ambao wanataka kuwanyima fursa wafanya biashara wenye mitaji midogo kujiendeleza.