Bunge

Ikulu kuwafutia posho wabunge

Mwandishi Wetu
Rais Jakaya Kikwete, Spika Anna Makinda
SAKATA la nyongeza ya posho kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeingia katika sura mpya

Wabunge mtegoni

John Daniel
Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dk. Edward Hoseah
TAKUKURU imetoa ripoti ya uchunguzi kuhusu utata na uhalali wa malipo ya viwango vipya vya posho kwa wabunge

Bunge lajichafua upya kwa posho

Mwandishi Wetu
Spika Makinda na Rais Kikwete
HALI ya hewa kati ya Bunge kwa upande mmoja, wananchi na kada nyingine za kijamii, imechafuka upya

Spika Makinda matatani

Mwandishi Wetu
Spika Anne Makinda
UZITO wa kauli za Spika wa Bunge, Anne Makinda, katika utawala wa Bunge na hata mbele ya jamii unaweza kuwa umeanza "kupwaya"

Bunge linapochunguza uvumi

Maggid Mjengwa

KUMETOKEA vioja ndani ya Bunge, nalo limeingiliwa na abrakadabra! Ndiyo, imani za kishirikina zimeingia bungeni.

Twaweza kupuuza CHADEMA, hatuwezi kupuuza matokeo ya upuuzi wetu

Msomaji Raia

Nianze kwa kuwaomba radhi wasomaji wa safu hii kwa jambo moja. Kwamba siku za karibuni nimelazimika kuwa nawarejesha yale niliyowahi kusema huko nyuma kwa sababu ya umuhimu wake.

Ufisadi mbaya CCM, mzuri bungeni

Msomaji Raia

KWA kadri siku zinavyosonga mbele, masuala kadhaa yanazidi kujitokeza na kuifanya vita dhidi ya ufisadi iliyoanzishwa na Chama cha Mapinduzi (CCM) siku za karibuni, ionekane ni mzaha mbele ya umma.

Hofu ya wabunge wetu ni ya nini?

John Bwire
TUMESIKIA, kwamba wabunge wamekerwa sana na ama hatua ya kwamba sasa posho zao, zile zilizozua miguno ndani ya jamii hazitalipwa au kwamba walau mada hiyo sasa imeahirishwa hadi yatakapotoka maelekezo mengine

Bunge: Ushirikina kuchukua nafasi ya demokrasia wakilishi?

Joseph Mihangwa

MAPEMA mwezi huu, habari za kuogofya zilienea katika duru za Bunge mjini Dodoma na kupamba  kurasa za magazeti nchini kuhusu mbunge mmoja kutuhumiwa  kuingia ndani ya Ukumbi wa Bunge saa mbili us

Mishahara mipya kwa wabunge ni ujambazi

Evarist Chahali

AWALI, nilitaraji wiki hii ningeendelea na uchambuzi wangu kuhusu changamoto mbalimbali zinazovikabili vyama vyetu vya siasa nchini kuelekea Uchaguzi Mkuu ujao, mwaka 2015.

Pages

Subscribe to Bunge