Bunge

Vita ya Spika ni urais 2015

Mwandishi Wetu

WAKATI Kamati Kuu ya Chama cha Mapinduzi (CC -CCM) ikiingia katika mtihani mgumu kujadili na hatimaye kupitisha majina ya watu watakaowania nafasi ya Spika wa Bunge, imeelezwa kwamba nafasi hiyo

Chenge amponza Makinda

Mwandishi Wetu
Mbunge Andrew Chenge na Spika Anne Makinda
SPIKA wa Bunge, Anne Makinda, anaweza kukutana na hoja ya kupigiwa kura ya kutokuwa na imani bungeni na hatimaye kung’olewa

Spika Makinda ‘amechemsha’

Maggid Mjengwa

NI dhahiri kauli ya Spika Anne Makinda kuwa wabunge wanaongezewa posho kwa vile gharama ya maisha Dodoma iko juu inaonyesha udhaifu wa  viongozi wetu wengi, kukosa uelewa wa hali halisi.

Tatizo ni Mwakyembe au kanuni za Bunge?

Godfrey Dilunga

DHANA ya uwajibikaji bila shinikizo (best practice) ni dhana ya kiungwana. Ni dhana ambayo inaweza kutekelezwa kwa hiari ya mhusika au nguvu za kikanuni au sheria.

Rais aweza kuzima jaribio la Bunge la kumshitaki

Mwandishi Wetu

WASWAHILI husema: mfa maji haachi kutapatapa. Si raia wote wanaokubali mkondo wa sheria uwaingilie kirahisi.

Katiba Mpya: Uhalali wa wabunge wahojiwa

Mwandishi Wetu
MABISHANO ya Wabunge na Wajumbe wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar kuwa sehemu ya wajumbe wa Bunge la Katiba umeibuka

Posho za wabunge zafika kwa wafadhili

Waandishi Wetu

WAKATI wabunge wakiwa ni sehemu ya watumishi wa umma, wafadhili wamepewa ripoti inayowataja kuwa ni mfano wa vigogo wanaofaidi zaidi rasilimali za Taifa kwa kupewa maslahi manono ikilinganishwa n

Bunge kubadili kanuni tena

Mwandishi Wetu

BUNGE la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia kamati yake ya uongozi, limepanga kuzifanyia mabadiliko kanuni zake ili kuimarisha tija ya muhimili huo kwa Taifa na kufuta taswira kwamba ni cho

Ndoa ya serikali na bunge ivunjwe

Innocent Mwesiga

MFUMO wa dola wa Tanzania umeweka mazingira magumu kwa wabunge kuwavua nguo chafu viongozi wetu na kuzianika juani, ambapo kila mpita njia anaziona, kama shinikizo mojawapo la kuwataka wazifue.

Kamati Teule za Bunge ziwe na wigo mpana zaidi

Privatus Karugendo
SINA uhakika kanuni za Bunge zinasema vipi; hivi ni lazima Kamati Teule za Bunge ziundwe na Wabunge wenyewe? Na hata kama suala linalojadiliwa linagusa maslahi ya taifa zima?

Pages

Subscribe to Bunge