WAKATI Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) akiripoti kunyimwa orodha ya kampuni za ununuzi pamba zilizolipwa mabilioni wakati wa mtikisiko wa uchumi duniani, Raia Mwema, inayo orod
MDHIBITI na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ludovick Utouh, amekwishakutoa ripoti ya ukaguzi wa fedha katika Serikali Kuu, Serikali za Mitaa na Mashirika ya Umma.
“HAKUNA silaha nzuri ya kisiasa kuliko ile ya vitisho, ubabe na unyama. Ukatili humfanya mtu au asasi iogopewe au tawala ziheshimiwe. Walimwengu wanaweza kutuchukia sisi Wajerumani, lakini hatuombi watupende; bali tunachotaka ni wao watuogope
Himmler na ukatili
Maoni ya Wasomaji
Hii serikali kweli haina huruma na haidhamini wananchi wake. inaelekea GPSA imetekwa na mafisadi papa ambao wanataka kuwanyima fursa wafanya biashara wenye mitaji midogo kujiendeleza.