WATU hao (wapotoshaji) wanaweza wakawa na vyeo vikubwa katika nchi zao, wanaweza wakawa na shahada za kisomo cha hali ya juu, wanaweza wakawa matajiri wa fedha, wanaweza wakavuruga mawazo ya wananchi wachache wasiokuwa na hatia. Lakini ni watu takataka, hawastahili hata kutemewa mate