Chenge

Membe: Kina Chenge wajisafishe

Mwandishi Wetu

WAKATI kitabu cha The Shadow World Inside The Global Arms Trade kikifichua washiriki wa kashfa ya ununuzi wa rada ya kijeshi kwa kuwataja, Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Fedha na Uchu

Kina Chenge na hatima ya utawala wa Kikwete

Mkami Msami

ILE minong’ono ya muda mrefu na ya chini chini juu ya ukwasi mkubwa wa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, hatimaye imewekwa bayana, na umma wa Watanzania umejua.

Chenge na ‘bora tukose wote’ 

Msomaji Raia

KATIBU Mkuu wa CCM, Mzee Yussuf Makamba amewaambia Watanzania mwishoni mwa wiki kuwa ni wepesi wa kusahau.

Tusiwakingie kifua waliotorosha mabilioni ya fedha zetu

Joseph Mihangwa
ILIPOWASILISHWA bungeni na mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, hivi karibuni, hoja ya kuitaka Serikali kuchunguza kashfa dhidi ya baadhi ya vigogo wanaodaiwa kukwapua mabilioni ya fedha na kuyaficha kwenye mabenki nchini Uswisi, Mwanasheria Mkuu wa Serikali, kama kawaida ilivyozoeleka, alijaribu, lakini safari hii bila mafanikio, kuzima hoja hii kwa madai kwamba haina mshiko kisheria

Utajiri wa Chenge: Labda ameuza ng’ombe wake wote

Maggid Mjengwa

IMERIPOTIWA, kuwa Waziri wa Miundo Mbinu Andrew Chenge anatuhumiwa kuwa na dola za Marekani milioni moja kwenye akaunti yake Uingereza.

Chenge amekunywa maji anayooga

Godfrey Dilunga

HATIMAYE Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, kwa kujua au kutokujua, amefichua siri ya wenzake wanaoitafuna CCM na Serikali yake. Ameweka bayana sababu, uwezo na nia yao kama kundi.

Tusiwalinde waliotorosha mabilioni ya fedha zetu

Joseph Mihangwa
Kutokana na Kampuni ya Meremeta kujitangaza “mufilisi”, lakini baada ya kukomba dhahabu zote za Buhemba, Buhemba Kusini, Nyamongo na Magunga, mbali na kukwapua bilioni 155/= kutoka Benki Kuu, iliundwa tume ya watu watano kuchunguza kampuni hiyo na kutoa mapendekezo serikalini

Chenge awaombe radhi waandishi, wananchi

Joseph Mihangwa

KATIKA vita ya hivi karibuni ya kuwania kiti cha uspika, Mbunge wa Bariadi Magharibi, Andrew Chenge, ambaye naye alikuwa akiwania kiti hicho, alimrushia kombora spika aliyemaliza muda wake, Samw

Bunge launda kikosi cha siri

Mwandishi Wetu
Spika ameunda kikosi kazi cha kusuka mkakati wa kuidhibiti Serikali katika ukusanyaji kodi

Ndiyo Chenge, japo ulichelewa 

John Bwire

WAZIRI wa Miundombinu, Andrew Chenge amejiuzulu. Uamuzi huo  wa mheshimiwa huyo, haukumshtua yeyote.

Pages

Subscribe to Chenge