CUF

Dk.Slaa aandaa Mawaziri

Mwandishi Wetu

WAKATI Chama cha Wananchi (CUF) kikitamba kunyakua zaidi ya majimbo 47 Tanzania Bara, mgombea urais wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Dk.

Warioba: CCM iko njozini

Waandishi Wetu

WAKATI Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba amesema kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) hakina hodhi ya maoni, Chama cha Wananchi (CUF) kimezindua kitabu cha kuisuta CCM huku Mwenyekiti wa Cha

Kikwete avamia ngome ya CUF

Mwandishi Wetu

MGOMBEA Urais kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete amevamia ngome ya Chama cha Wananchi (CUF) kisiwani Pemba wiki hii.

CUF, CHADEMA vitani

Mwandishi Wetu

WAKATI Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) ikiweka bayana kwamba itateua rasmi wagombea ubunge katika Jimbo la Busanda, Aprili 28, mwaka huu, hali si swari kambi ya upinzani na mvutano wa wazi umeib

CCM dhaifu mtaji imara wa urais CHADEMA, CUF

Evarist Chahali

NIANZE makala hii kwa kutoa salamu za pongezi kwa jarida hili la Raia Mwema ambalo limetimiza miaka minne tangu kuanzishwa Oktoba 30, 2007.

Ndoa ya upinzani ilifia Tarime - Slaa

Mwandishi Wetu

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.

Tunahitaji siasa CUF

John Bwire
TUMEANZA safari ya kuelekea kuanza mwaka wa 51 baada ya kuadhimisha miaka ya 50 ya Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika. Kwa sehemu kubwa, sote tunajivunia kubaki katika amani na utulivu kwa muda wa miaka yote 50

Kuwafukuza Kafulila, Hamad ni adhabu ya kifo - REDET

Mwandishi Wetu
David Kafulila
UAMUZI wa CUF na NCCR-Mageuzi kuwafukuza uanachama wabunge wake baada ya kuonyesha nia ya kugombea nafasi za juu umezidi kukosolewa

CUF: SMZ ya Karume ina Ukaburu

Mwandishi Wetu

KUNA madai ya kitakwimu, ambayo yanaonyesha kuwa kuna ubaguzi wa dhahiri dhidi ya Wazanzibari wenye asili ya Pemba, unaodaiwa kufanywa na Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar(SMZ).

CCM, CUF wakubali kukalishwa chini

Maggid Mjengwa

BAADA ya matokeo ya uchaguzi wa mwaka 2005 Maalim Seif alikaririwa akitamka kuwa: Hakuna tena muafaka wa tatu”.

Pages

Subscribe to CUF