Dowans

Siri ya Zitto na Ngeleja yavuja

Mwandishi Wetu

WAKATI hali ya umeme nchini ikiwa bado tete, barua ya siri kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Hesabu za Mashirika ya Umma (POAC), Zitto Kabwe kwenda kwa Waziri wa Nishati na Madini, Wi

Kizungumkuti Dowans

Mwandishi Wetu

RAIS Jakaya Kikwete ametofautiana na kauli ya Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja, pamoja na Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Jaji Frederick Werema, akikubaliana na wabunge wa Chama cha Map

Siri za anayejidai kumiliki Dowans

Waandishi Wetu

WAKATI Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) likielezwa kuanza kuwasha mitambo ya Dowans, mmiliki wa kampuni hiyo aliyezua utata, Sulaiman Mohammed Yahya Al Adawi, ni Mzanzibari aliyeukana uraia w

Mtazamo wa Zitto kuhusu Dowans na mgao wa sasa wa umeme 

Mwandishi Wetu

Wiki iliyopita, Oktoba 15, Naibu Katibu Mkuu wa CHADEMA na mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe alikutana na waandishi wa habari, mjini Dar es Salaam, kuzungumzia suala la Dowan

Tupeni umeme, kisha mjadili kanuni zenu

John Bwire
Inaelekea Serikali imeshikwa pabaya, na imekubali. Vinginevyo utaielezaje hali aliyokuwa nayo Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja wakati akieleza hatua ya Serikali ya kukubaliana na Kamati ya Shellukindo kuwa mitambo ya Dowans haistahili kununuliwa?

Kimaro: Kwani Dowans ni ya nani?

Mwandishi Wetu

MBUNGE wa Vunjo (CCM), Aloyce Bent Kimaro anasema kuwa katika zama hizi za uwazi na ukweli ni muhimu taifa likaelezwa kampuni inayomiliki mitambo ya kufua umeme wa dharura ya Dowans ni mali ya

Kwa nini Tanzania imekuwa ‘buzi la kuchunwa’?

Lula wa Ndali Mwananzela

KATIKA misemo ya mitaani, buzi ni mwanamume ambaye anajikuta akiamini mapenzi motomoto kutoka kwa mtu ambaye kwake anachotaka ni mafanikio ya kihali na mali.

Rais amedhalilishwa sakata la Dowans

Godfrey Dilunga

HAKUNA haja kwa Watanzania kusubiri nchi iingie gizani ndipo waamue kama alivyosema Mkurugenzi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Dk. Idris Rashid.

Sintofahamu ya dowans na geresha ya watawala

Lula wa Ndali Mwananzela

KUNA watu wanataka tuamini kuwa adhabu ambayo TANESCO imepigwa na Baraza la Usuluhishi la Biashara la Kimataifa imekuja kwa bahati mbaya.

Pages

Subscribe to Dowans