EPA

Ya Richmond na EPA yataibua mengi

Privatus Karugendo

TANGU kashfa za Richmond na EPA ziibuke kumetokea mambo kadhaa ambayo yameleta mijadala ya aina nyingi hasa kwa wahusika wakuu wa madudu hayo.

Uchunguzi wa EPA bado - Ikulu

Mwandishi Wetu

TIMU maalumu ya serikali iliyoundwa kuchunguza wizi uliofanyika Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kupitia Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) inaendelea na kazi hadi sasa, Ikulu imeeleza jana Jumanne.

EPA: Minyukano ya mafisadi imemwamsha mwenye mali

Joseph Mihangwa

MBWA mwitu ni mnyama mwindaji hatari kwa wanyama wadogo wadogo porini. Silaha zake ni mbio, meno makali mithili ya kisu chenye ncha kali na ujanja wa porini.

Ni Mafisadi United dhidi ya nani?

Johnson Mbwambo

KWA wale ‘vijana wa zamani’ watetezi na waumini wa Marxism, watakumbuka kwamba huwezi kufanikisha  mapinduzi au mabadiliko katika jamii (kama vile Maisha Bora kwa Kila Mtanzania) kam

Tujadili Muungano au kukithiri kwa ufisadi?

John Bwire

NI bahati mbaya sana kwamba kila linapotokea tatizo zito la kitaifa linaloibua mjadala mzito wa Watanzania wote, kinatokea kitu kingine na kupunguza kasi ya mjadala huo.

EPA: Minyukano ya mafisadi imemwamsha mwenye mali II

Joseph Mihangwa

MTANDAO wa ufisadi wa EPA unawajumuisha pamoja wafanyabiashara kadhaa akiwemo mmoja maarufu anayeishi katika kasri lake karibu na Hotel Slipway, jijini Dar es salaam.

Sumaye afyatuka urais 2015

Mayage S. Mayage
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Tulway  Sumaye
Suala la wizi wa EPA lilimsononesha sana. Asikitishwa na jinsi Serikali ilivyowashughulikia wezi hao

Kurudishwa fedha za EPA ni ‘usanii’

Waandishi Wetu

UTATA unaendelea kugubika uchunguzi wa wizi wa mabilioni ya shilingi katika Akaunti ya Madeni ya Nje (EPA) ndani ya Benki Kuu ya Tanzania (BoT) kutokana na taarifa kwamba sehemu kubwa ya fedha z

Viongozi wetu na binadamu wasioonekana

Chesi Mpilipili

ZIPO riwaya mbili za kusisimua za Kiingereza ambazo zimeandikwa na waandishi wawili tofauti lakini zote zina jina moja la 'The invisible Man' ambayo kwa tafsiri binafsi

NGOs na wafadhili wamshinikize Kikwete kuhusu EPA

Johnson Mbwambo

WIKI iliyopita Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu, Salva Rweyemamu aliwaambia waandishi wa habari, mjini Dar es Salaam, kwamba timu maalumu ya Rais iliyoundwa kuchunguza wizi wa pesa za umma katika

Pages

Subscribe to EPA