Karume

Karume amkwaza Kikwete

John Bwire

WAJUMBE wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha Mapinduzi (CCM/NEC) kutoka Zanzibar, wakiongozwa na Makamu Mwenyekiti wa chama hicho, Zanzibar ambaye pia ni Rais wa Zanzibar, Amani Abeid Karum

Field Marshal John Okello: Shujaa mapinduzi Zanzibar asiyekumbukwa

Joseph Mihangwa

MWANAHARAKATI  John Gidion Okello, kama alivyokuwa mkombozi wa Cuba, Ernesto “Che Guevera”, ni mmoja wa wanamapinduzi nadra na mashuhuri duniani walioendesha mapambano kukomboa

Utata kifo cha Karume: Chuki binafsi au mapinduzi? IV

Joseph Mihangwa
Baada ya kundi la Dar es Salaam kutowasili Zanzibar saa iliyopangwa, na Serikali ya Zanzibar kugundua kuibiwa kwa silaha Kambi ya Bavuai ambazo zingetumika katika Mapinduzi, na Luteni Hamoud na Kapteni Ahmada kuanza kufuatiliwa na wakuu wa Jeshi, wanajeshi hao waliamua kutekeleza zoezi hilo wenyewe kwa kumuua Rais Karume

Field Marshal John Okello: Shujaa mapinduzi Zanzibar asiyekumbukwa II

Joseph Mihangwa

KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya, tuliona namna Mapinduzi ya Zanzibar ya Januari 12, 1964 yalivyoandaliwa na vikundi vitatu tofauti vya vyama vyenye lengo moja lakini kwa mazingira tofauti

ABEID KARUME: Aliuawa kulipiza kisasi au kumpindua?

Joseph Mihangwa

APRILI 7, mwaka huu, Watanzania katika ujumla wao (angalia: kuna Watanzania na Wazanzibari) wataadhimisha kumbukumbu ya miaka 38 ya kifo cha mwasisi wa Taifa la Zanzibar, na pia mmoja wa waasisi

Field Marshal John Okello: Shujaa mapinduzi Zanzibar asiyekumbukwa III

Joseph Mihangwa

KATIKA sehemu ya pili ya makala haya, tuliona jinsi Wanamapinduzi ya Zanzibar ya Januari 12, 1964 walivyokamilisha kazi hiyo siku hiyo mchana, na jioni hiyo hiyo Kiongozi wa Mapinduzi hayo kutang

ABEID KARUME: Aliuawa kulipiza kisasi au kumpindua? II

Joseph Mihangwa

KATIKA sehemu ya kwanza ya makala haya wiki iliyopita, tuliona juu ya utata uliozunguka kifo cha Rais wa kwanza wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Abeid Amani Karume, Aprili 7, 1972.

Utata kifo cha Karume: Chuki binafsi au mapinduzi?

Joseph Mihangwa

Miaka 40 iliyopita, Aprili 7, 1972; Rais wa Serikali ya awamu ya kwanza ya Mapinduzi na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, ambaye pia alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Jamhuri ya Muung

ABEID KARUME: Aliuawa kulipiza kisasi au kumpindua? III

Joseph Mihangwa

KATIKA sehemu ya pili ya makala haya wiki iliyopita, tuliona jinsi kufikia mwaka 1972, Rais Abeid Amani Karume wa Zanzibar alivyoanza kupoteza uvumilivu kwa changamoto za kisiasa kutoka kwa wanas

Balozi Karume: Kutangaza kugombea Zanzibar si kumponda Rais wa sasa

Livingstone Ruhere

BALOZI Ali Abeid Amani Karume ana mikakati mingi, na hafichi kuieleza mikakati hiyo anayosema inawez kumfikisha katika kiti cha juu kabisa cha kisiasa Zanzibar.

Pages

Subscribe to Karume