MWAKA jana nilipoandika makala kwenye gazeti moja la kila wiki kuhusu mchakato wa kuandika Katiba mpya ya Tanzania, nilisema moja ya mambo muhimu ili kupata Katiba bora ni usawa wa washiriki.
HADI sasa, ujumbe ambao nimekuwa nikijaribu kuwasilisha ni kwamba nchi yetu imekumbwa na mitafaruku ya kutoelewana miongoni mwa watu wake, na kwamba mitafaruku hii, ikiangaliwa kwa makini, inatu
“WALE wenye bahati ya kupata elimu, wanao wajibu wa kulipa jasho ambalo wengine wamelitolea. Ni sawa na mtu aliyepewa chakula chote katika kijiji chenye njaa, ili apate nguvu za kwenda kuhemea katika sehemu zilizo mbali. Mtu huyo akikipokea chakula hicho, na halafu asiwaletee msaada ndugu zake, basi yeye ni msaliti.”
BAADA ya kuibuka taarifa kuwa ziko mbinu za wanasiasa kuhujumu Tume ya Katiba, wanazuoni na wanaharakati wameibuka na kuitaka tume na wananchi kutoyumbishwa
NAOMBA nipendekeze kuwa mchakato mzima ambao umependekezwa na Chama cha Mapinduzi na kupitishwa na sehemu kubwa ya wabunge ili kusimamia mchakato wa kuelekea Katiba Mpya hauna msingi wa kikatiba,
Watu wote waliumbwa sawa. Haiwezekani kwa kikundi fulani cha watu kufaulu kuendelea kuwakandamiza watu wengine. Muumbaji huyo ambaye alituumba sawa atawapa nguvu wale ambao wanakandamizwa ili waweze kuwashinda wale walioamua kuwakandamiza wengine
Nyerere na wakandamizaji
Maoni ya Wasomaji
Hapa kitu kinachonishangaza mbona hapo Loiliondo kuna makampun mengi ya uwindaji ya wazungu hayatajwi wala kulalamikiwa?au hapa mie naona kama kuna Propaganda fulani imeanzishwa na hao wazungu ili