Katiba Mpya

RC, DC vikaoni CCM ni kukiuka Katiba

Godfrey Dilunga

FEBRUARI 5, mwaka huu, Chama Cha Mapinduzi (CCM) kiliadhimisha miaka 32 tangu kuanzishwa kwake.

Wananchi wanataka Katiba, ubatili unatoka wapi?

Simon Mwalwimle

WIKI iliyopita, Novemba 29, 2011, Rais Jakaya Kikwete alitia saini Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba uliopitishwa na Bunge, mwezi uliopita na kuufanya kuwa sheria inayomwezesha Rais kwa

Katiba mpya haikwepeki, viraka ni kujitakia shari IV

Joseph Mihangwa

Katika sehemu tatu za makala haya zilizopita, tuliona sababu na nguvu za utashi zilizotumika kufutwa na kuandikwa upya kwa Katiba nne zilizotangulia Katiba ya sasa ya Jamhuri ya Muungano, ya mwak

Uandikishwaji kupiga kura ubadilishwe

Lula wa Ndali Mwananzela

MOJAWAPO  ya matatizo makubwa ya demokrasia yetu jinsi ilivyoundwa na CCM ni kuwa inazuia kundi la wananchi kushiriki kupiga kura kama wanataka kupiga kura.

Tuipokee ahadi ya Pinda kwa tahadhari kubwa

John Mnyika

JUNI 25 na 26, 2011, vyombo mbalimbali vya habari vilimnukuu Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akitangaza kwamba Katiba mpya ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania itazinduliwa Aprili 26,  2014 katika maadh

Kikwete alainika Katiba Mpya

Mwandishi Wetu

BAADA ya kusakamwa kuhusu mchakato wa maandalizi ya Katiba mpya, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeagiza vyombo husika kwanza kuandika muswada husika katika Kiswahili, na pili utangazwe sana kwenye

Umma: Vigogo wasitibiwe nje

Mwandishi Wetu
HUKU mchakato wa maoni ya Katiba mpya ukielekea ukingoni, vyanzo kadhaa vya habari vinasema maoni bora zaidi yatakayoweza kujenga dira ya nchi, yametoka kwa wananchi.

Katiba mpya na diplomasia ijayo

Godfrey Dilunga

MEI 22 mwaka 1967, lililokuwa gazeti la Kiingereza nchini la The Nationalist, lilinukuu habari iliyoandikwa na gazeti la Afrika Kusini la Sunday Times.

CCM rekebisheni Katiba ‘muuue rasmi Ujamaa’

Lula wa Ndali Mwananzela

KUNA wakati mwingine ukweli unaweza kukukodolea macho kutwa nzima na usiukubali. Ukakutumbulia macho kama swala anayemulikwa na tochi na hausogei popote hata kama huupendi.

Ubabe uliozoeleka kutumika tena?

Joseph Mihangwa

DESEMBA mosi, mwaka huu, Rais Jakaya Kikwete alitia sahihi kuwa sheria, muswada wa kuanzisha mchakato wa Katiba mpya nchini, ili kwamba Katiba hiyo mpya iwe tayari kuweza kutumika katika Uchaguzi

Pages

Subscribe to Katiba Mpya