Kikwete

Wabunge 20 CCM wamtega Kikwete

Mwandishi Wetu
Mwenyekiti wa CCM, Jakaya Mrisho Kikwete
CHAMA cha Mapinduzi (CCM) sasa kipo hatarini kukimbiwa na kundi la wabunge zaidi ya 20

Warioba, Dk. Salim watumika CHADEMA

Godfrey Dilunga
Jaji Warioba na Salim Ahmed Salim
MAWAZIRI Wakuu wa zamani Warioba na Salim, ndio "viungo" wa mazungumzo kati ya CHADEMA na Rais Kikwete kuhusu Katiba mpya

Bunge lajichafua upya kwa posho

Mwandishi Wetu
Spika Makinda na Rais Kikwete
HALI ya hewa kati ya Bunge kwa upande mmoja, wananchi na kada nyingine za kijamii, imechafuka upya

Bunge kuingiza viraka ‘bandia’

Mwandishi Wetu
Freeman Mbowe na Rais Kikwete wakijadili Katiba mpya
Imebainika kuwa mapendekezo ya marekebisho ya Sheria ya Mabadiliko ya Katiba ya mwaka 2011 yana "matundu" mengi yanayompa madaraka makubwa Rais

Ikulu kuwafutia posho wabunge

Mwandishi Wetu
Rais Jakaya Kikwete, Spika Anna Makinda
SAKATA la nyongeza ya posho kwa wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania limeingia katika sura mpya

Kikwete anusurika, awang’oa wenzake

Waandishi Wetu
Mjumbe wa NEC ya CCM, Edward Lowassa
MIPANGO ya siri iliyoandaliwa kumng'oa Rais Jakaya Kikwete kwenye uenyekiti wa Chama cha Mapinduzi imekwama

Wakubwa wapagawa

Waandishi Wetu
WAZIRI Mkuu, Mizengo Pinda
Imethibitisha kwamba sasa, pengine kuliko wakati mwingine wowote, mabadiliko ya Baraza la Mawaziri yatakuja

Kikwete ‘awalea’ vigogo wanaomhujumu kisiasa

Mwandishi Wetu

MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amezungukwa na mtandao wa vigogo wakiwamo wanaotuhumiwa kwa ufisadi, wanaodaiwa kuzidi kujenga kiburi ndani ya chama na hata serikalin

Uswahiba huu wa Rais Kikwete na Bw. Sinclair!

Lula wa Ndali Mwananzela

KUNA tabia imeanza kuzoeleka na ambayo kwa hakika haina budi kukemewa, kubezwa, kupingwa, na kukataliwa na kila Mtanzania mwenye kupenda utawala wa uwazi na ushirikishwaji wa wananchi katika mjad

Barua ndefu ya wazi kwa Jakaya VI

Jenerali Ulimwengu

Mwaka 2005 siku chache baada ya Jakaya Kikwete kushika madaraka ya Rais wa Tanzania kutokana na uchaguzi uliompa ushindi wa Oktoba mwaka huo, nilimwandikia Barua Ndefu ya Wazi kupitia katika gazeti

Pages

Subscribe to Kikwete