Kikwete

Mkutano Mkuu: Kikwete ataiokoa CCM?

Lula wa Ndali Mwananzela

MKUTANO Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) ndicho chombo cha juu zaidi cha maamuzi ndani ya chama hicho.

Ni kweli JK ni kama JFK?

Joseph Mihangwa

WOTE wawili majina yao yanaanza na herufi J na kuishia na herufi K, kwa maana ya “JK”.

Ya Kikwete, Magufuli na Jerry Silaa!

Mayage S. Mayage

HIVI karibuni niliguswa na matamshi ya watu watatu.

Kikwete na ‘Don Kings’ wetu!

Johnson Mbwambo

AGOSTI 2008 niliwahi kuandika kuhusu suala la Rais Kikwete kujiruhusu kuzungukwa Ikulu na court jesters; yaani wale walamba miguu wanaopatikana katika majumba ya kifalme ambao mfalme akicheka kidog

Katika haya yote, yu wapi Kikwete?

Johnson Mbwambo

HIVI karibuni Rais Jakaya Kikwete aliwajia juu viongozi wa zamani wanaoikosoa serikali yake “vijiweni”.

Barua ndefu ya wazi kwa Jakaya IV

Jenerali Ulimwengu

Mwaka 2005 siku chache baada ya Jakaya Kikwete kushika madaraka ya Rais wa Tanzania kutokana na uchaguzi uliompa ushindi wa Oktoba mwaka huo, nilimwandikia Barua Ndefu ya Wa

Slaa amtumia Nyerere kummaliza Kikwete

Mwandishi Wetu

MGOMBEA urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.

Rais Kikwete anaelekea kwenye udikteta?

Lula wa Ndali Mwananzela

MANENO ya Kikwete kwamba “Mimi kama Rais nina mamlaka makubwa ninao uwezo wa kusema kamata Slaa........ Mwema atakwenda kumkamata bila kuniuliza kwa nini nimetoa amri ya kumkamata.

Nasi tumwambie Kikwete: La transparence compte!

Johnson Mbwambo

MARA moja moja katika wiki huwa nafungua tovuti maarufu za hapa nchini za majadiliano kuona Watanzania wenzangu wana maoni na mitazamo gani kuhusu mambo mbalimbali yanayohusu mustakabali wa Tai

Pages

Subscribe to Kikwete