ZIMEBAKI siku chache tu Rais
Jakaya Kikwete atatimiza miaka
miwili kamili tangu
tulipomtwisha kazi ngumu ya
kuliongoza taifa letu; nami
nashawishika kujiunga na Watanzania
WIKI iliyopita Rais Jakaya Kikwete akijibu swali juu ya hofu ya wizi wa kura katika uchaguzi mkuu uliofanyika Jumapili, Oktoba 31, aliloulizwa kwenye mazungumzo yake na vyombo ‘teule&rsquo
WANANCHI wanaendelea kutafakari matukio kadhaa yaliyojiri wakati wa awamu ya kwanza ya kampeni ya mgombea Urais kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Jakaya Kikwete, katika Mkoa wa Mbeya alikopita jum
MWENYEKITI wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Rais Jakaya Kikwete, amezungukwa na mtandao wa vigogo wakiwamo wanaotuhumiwa kwa ufisadi, wanaodaiwa kuzidi kujenga kiburi ndani ya chama na hata serikalin
KUNA tabia imeanza kuzoeleka na ambayo kwa hakika haina budi kukemewa, kubezwa, kupingwa, na kukataliwa na kila Mtanzania mwenye kupenda utawala wa uwazi na ushirikishwaji wa wananchi katika mjad
Mwaka 2005 siku chache baada ya Jakaya Kikwete kushika madaraka ya Rais wa Tanzania kutokana na uchaguzi uliompa ushindi wa Oktoba mwaka huo, nilimwandikia Barua Ndefu ya Wazi kupitia katika gazeti
NI jambo la kushangaza kidogo kwamba viongozi wetu wanaona kuwa ni kosa kuwakumbusha kuwa vyeo walivyo navyo ni dhamana. Wanadhani kuwa uwaziri ni usultani; ukishakuwa sultani utakufa ukiwa sultani. Nadhani wanaofikiria hivyo wanakosea sana
Nyerere na wanaoringia uwaziri
Maoni ya Wasomaji
Jamani kama ni kutoa maoni basi toeni kwa kiswahili. Kiingereza gani alichotumia kutoa maoni huyo hapo juu!!! Huo ni ujuha. Kuhusu matokeo, nadhani serikali imelenga kufurahisha wapiga kura.