Kleruu

Kwa nini mkulima Mwamwindi alimpiga risasi RC Dk. Kleruu?

Maggid Mjengwa

IRINGA ina historia ndefu ya harakati za mapambano ya kudai uhuru. Harakati za kijamii, kisiasa na kiuchumi.

Kwa nini mkulima Mwamwindi alimpiga risasi RC Dk. Kleruu? II

Maggid Mjengwa

Makala hii ni mwendelezo wa ile iliyochapishwa katika toleo maalumu la miaka 50 ya Uhuru wa iliyokuwa Tanganyika. Endelea.

Kwa nini mkulima Mwamwindi alimpiga risasi RC Dk. Kleruu? IV

Maggid Mjengwa

HII ni sehemu ya nne ya simulizi kuhusu kwa nini mkulima Mwamwindi alimpiga risasi Mkuu wa Mkoa wa Iringa kwa wakati huo, Dk. Kleruu. Endelea...

Kwa nini mkulima Mwamwindi alimpiga risasi RC Dk. Kleruu? V

Maggid Mjengwa

UKIMWONA kwenye mitaa ya Iringa bado anatembea  kwa hatua za kijeshi. Ni Mzee David Butinini.

Kuuawa RC Dk. Kleruu: Ni matokeo ya sera zisizoshirikishi

Prosper K. Mutungi

NI kweli wakazi wengi wa Iringa waliokuwepo kipindi ambacho Dk. Kleruu alikuwa mkuu wa mkoa huo wanadai alikuwa mkorofi sana na hawakumpenda hata kidogo.

Kwa nini mkulima Mwamwindi alimpiga risasi RC Dk. Kleruu? VI

Maggid Mjengwa

NIPO katika mgahawa wa Neema Craft mjini Iringa. Mzee David Butinini na mimi tumepanga tukutane mahali hapa kwa chakula cha mchana na mazungumzo kuhusu alichokishuhudia miaka 40 iliyopita.

Kwa nini mkulima Mwamwindi alimpiga risasi RC Dk. Kleruu? VII

Maggid Mjengwa

KWENYE mazungumzo yangu na Mzee David Butinini mtakumbuka nilimuuliza; Mmoja wa wazee nilioongea nao kwa simu na natarajia nitakutana naye kwa mazungumzo ya ana kwa ana ni mkulima Mz

Subscribe to Kleruu