Lawrence Masha
MIAKA miwili tu kabla ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza
WAZIRI wa Mambo ya Ndani, Lawrance Masha, anaweza kulazimika kuchukua uamuzi wa kujiuzulu au kulazimishwa kujiuzulu, kama Bunge litaridhika kuwa ameingilia mchakato wa zabuni ya kumpata mchapisha
MRADI mkubwa wa Vitambulisho vya Taifa bado umegubikwa na utata, huku kukiwa na sura dhahiri ya ukosefu wa uwazi na hata kuonekana ni kinyang’anyiro cha ulaji.
HIVI karibuni Waziri wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha alisema kwamba atakwenda mkoani Singida kuendesha oparesheni ya kuwapata ng'ombe 25 wanaodaiwa kupotea mikononi mwa polisi katika mazingira
MRADI wa Vitambulisho vya Taifa umekumbwa na utata mwingine baada ya Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi kuongeza muda wa kuweka wazi matokeo ya zabuni hiyo, jambo lililoyachanganya makampuni yali
WAKATI Kanda ya Ziwa ikiwa imeendelea kutikiswa na kugubikwa na matukio ya mauaji ya kutisha yaliyotokea mwezi uliopita na mwezi huu, Serikali imeweka bayana mikakati inayokusudia kuchukua katik
HATUA ya mgombea ubunge wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Jimbo la Nyamagana, Mwanza Lawrence Kego Masha kumwekea pingamizi mgombea wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa madai kuwa si ra
UAMUZI wa Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) kumrejesha kwenye kinyang’anyiro mgombea ubunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Jimbo la Nyamagana, Ezekiah Wenje, umeongeza mpasuko
WIKI iliyopita, katika kutafakari ni kwa nini maadili yetu, kama taifa, yanadidimia kwa kasi, nilieleza kwamba awamu ya sasa ya uongozi inajaribu kuwafanya wananchi waamini kwamba ya kale yamekuw
KUNA suala muhimu linalohusu usalama wa raia wa nchi ambalo mpaka wakati makala hii inaandaliwa lilikuwa halijapewa uzito unaostahili na kuna hatari likaishia juu juu bila kutolewa majibu yanayo
Wasome zaidi Waandishi wa Raia Mwema