Mbowe

Dk.Slaa mbaroni

Mwandishi Wetu
Dr Slaa akiteremka kwenye karandinga la polisi baada ya kufikishwa mahakamani
SAKATA la Mbunge Lema, kukataa dhamana aliyopewa na Mahakama hatiamaye kuswekwa mahabusu, limeingia katika mwendelezo mapema wiki hii

Warioba: CCM iko njozini

Waandishi Wetu

WAKATI Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba amesema kwamba Chama cha Mapinduzi (CCM) hakina hodhi ya maoni, Chama cha Wananchi (CUF) kimezindua kitabu cha kuisuta CCM huku Mwenyekiti wa Cha

Slaa ana siri nzito, kuibukia Dodoma

Mwandishi Wetu

BAADA ya kuapishwa kwa Rais Jakaya Kikwete, kuendelea na kipindi cha pili cha urais wa Tanzania, aliyekuwa mgombea Urais kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.

Mbowe amuweka Lowassa njia panda

Mwandishi Wetu
James ole Millya akitangaza kuhamia CHADEMA

KUHAMIA CHADEMA kwa James ole Millya kumeibua taarifa ya kuwa yamekuwapo mazungunzo ambayo yanaweza kuwa yemewakutanisha Mbowe na Lowassa

CHADEMA yakana kubeba mafisadi

Waandishi Wetu

WAKATI watuhumiwa wa ufisadi ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) wakielezwa kuwa wanajipanga kupinga uamuzi wa Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) wa kuwataka wajiuzulu au watimuliwe, Chama cha Demokr

Mbowe kuwania ubunge

Mwandishi Wetu

MIVUTANO ya makundi ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), inatarajia kufanikisha jitihada za Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhitimisha vyema mpango wake wa kuongeza idadi ya wabunge k

Somo murua kwa Mbowe, Lipumba, Mrema kutoka kwa Kizza Besigye!

Johnson Mbwambo
KWA wale waliosoma kitabu kilichoandikwa na Rais wa Uganda, Yoweri Kaguta Museveni kinachoitwa Sowing The Mustard Seed watakubaliana nami kwamba, haitakuwa rahisi kwa kiongozi huyo kuachia madaraka nchini humo

CHADEMA ni mpango wa Mungu - Mbowe

Deus Bugaywa
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe
CHADEMA kimezindua kanda yake ya Ziwa Magharibi kwa kuwataka wananchi kutoruhusu chama hicho kife kwa kuwa kufanya hivyo kutairudisha Tanzania miaka 20 nyuma

Msiwakamate Slaa na Mbowe, kamateni roho zao

Privatus Karugendo

NINAJUA kwamba Rais Jakaya Kikwete ana washauri wake, hivyo sina haja ya kusema ninamshauri; inawezekana wanamshauri yeye anakataa kuwasikiliza, maana si lazima kufuata kila unachoshauriwa, laki

Kukamatwa kwa Freeman Mbowe; Tafsiri yangu

Maggid Mjengwa

NIONAVYO, kuna  upepo mgumu wa kisiasa unaovuma sasa kwenye nchi yetu. Ndio, upepo mwingine ni mgumu wenye kutingisha matawi ya miti na hata makoti tuyavaayo.

Pages

Subscribe to Mbowe