Membe

Vigogo wa Richmond wamhujumu Kikwete

Mwandishi Wetu

HUKU mambo yakiwa si shwari ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) na Serikali, wiki hii Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe, ametoboa siri kwamba tangu Rais Jakaya Kikw

Membe, Mkuchika, Chenge watinga Kamati Kuu CCM

Mwandishi Wetu

CHAMA cha Mapinduzi (CCM) jana kilimchagua tena Yusuf Makamba kuwa Katibu Mkuu lakini kikabadilisha Naibu Katibu Mkuu (Bara), Mweka Hazina na Katibu wa Uenezi katika mabadiliko

Wajipanga kwa urais

Waandishi Wetu

MIAKA miwili tu kabla ya Rais Jakaya Kikwete kumaliza

Wamo vigogo wawili wastaafu

Mwandishi Wetu
Viongozi wawili wastaafu waliopata kuitumikia nchi katika nafasi nyeti za dola ni miongoni mwa walioficha mamilioni ya dola za Kimarekani Uswisi

Demokrasia kwa staili ya Waziri Membe

Privatus Karugendo

JUMATATU iliyopita Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, alikuwa kwenye kipindi cha Semunyu,  dakika 45 ndani ya ITV.

Pigo jipya kwa Sitta, Membe, Lowassa

Mwandishi Wetu
KUUNDWA kwa Kamati Kuu ya CCM ni pigo jipya kwa watu wanaotajwa kuweza kuwania nafasi ya kuteuliwa kugombea urais kwa tiketi ya chama hicho

Membe: Tofauti zangu na Lowassa ni za kimtazamo

Godfrey Dilunga

Hivi karibuni, Oktoba 7, Mwandishi Wetu, GODFREY DILUNGA, alifanya mahojiano na Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, kuhusu masuala ya siasa nc

Hata Membe hana imani na asemacho

Msomaji Raia

WIKI iliyopita Watanzania walimwona Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, akimwaga cheche kuitetea Serikali ya Tanzania dhidi ya uamuzi wa Waingereza.

Kwa nini Waziri Membe yu sahihi?

Godfrey Dilunga

KAMA alivyowahi kueleza William Shakespeare, bora kuwahi saa tatu mapema zaidi kuliko kuchelewa kwa dakika; Better three hours too soon than a minute too late.

Ya Bernard Membe na mapinduzi ya Niger!

Johnson Mbwambo

HIVI karibuni nilimsikia Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Bernard Membe akihojiwa na BBC kuhusu mapinduzi ya kijeshi yaliyofanyika huko Niger, Afrika Magharibi.

Pages

Subscribe to Membe