MASHITAKA dhidi ya mawaziri wa zamani, Basil Mramba na Daniel Yona pamoja na Katibu Mkuu wao, Gray Mgonja, yameibua hofu kubwa kwa watendaji wa sasa na wa zamani serikalini wakiwamo na hata Rai
KUTUHUMIWA kwa ufisadi na hatimaye kujiuzulu kwa Waziri wa Miundombinu, Andrew Chenge, kumefungua njia ya umma kuhoji uadilifu wa viongozi wa siasa akiwamo Rais Mstaafu, Benjamin Mkapa.
KATIKA kauli ambazo zitawashitua watawala, Waziri Mkuu wa zamani, Jaji Joseph Warioba, amesema nchi ina viongozi dhaifu, umma unanyonywa, rushwa imeongezeka, wezi wa fedha za EPA waanikwe na Rai
CHAMA cha Mapinduzi (CCM), wiki iliyopita, kilipoza tuhuma zote kubwa za ufisadi zilizowagusa wanachama wake katika hatua inayotafsiriwa kuwa ni kujitoa katika vita dhidi ya uoza huo, Raia Mwema
Leo nahitimisha mjadala wangu kuhusu kauli ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwamba anaepuka kuzungumza na waandishi wa habari wa Tanzania kwa sababu ya upeo wao mdogo.
KAMPENI za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga zinazinduliwa mwishoni mwa wiki huku kukiwa na taarifa kwamba kuna mgawanyiko ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) juu ya ushiriki wa mbunge wa zamani wa j
SISI tunapenda kifo na hatukiogopi, lakini Wamarekani wanapenda maisha na wanaogopa kufa. Hiyo ndio tofauti kubwa kati yetu (Al Qaeda) na Wamarekani
Osama, Wamarekani na kifo
Maoni ya Wasomaji
Hii serikali kweli haina huruma na haidhamini wananchi wake. inaelekea GPSA imetekwa na mafisadi papa ambao wanataka kuwanyima fursa wafanya biashara wenye mitaji midogo kujiendeleza.