NILIKUWA na dhamira ya kuendelea na mjadala wangu juu ya masuala muhimu ya kuyapa kipaumbele katika mchakato wa kuelekea uchaguzi mkuu, lakini wiki iliyopita alinipigia simu mtu mmoja aliyejitam
MBUNGE wa Vunjo, Aloyce Bent Kimaro (CCM), anaamini ametumia haki yake ya kidemokrasia na wajibu wake kama mbunge kumtuhumu rais mstaafu, Benjamin Mkapa kuwa alifanya biashara Ikulu
NILIJIZUIA mno nisiandike chochote kuhusu tukio la Jumanne ya wiki iliyopita ambapo Rais wetu, Jakaya Kikwete, ‘alizawadiwa’ jezi ya Ronaldo na Rais wa Klabu ya Real Madrid ya Hispan
WASWAHILI wanasema yaliyopita si ndwele; lakini kwa vile Rais Mstaafu Benjamin Mkapa, ameamua kupanda tena jukwaani na kuendeleza siasa “uchwara” alizoziacha nyuma yake,
Leo nahitimisha mjadala wangu kuhusu kauli ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwamba anaepuka kuzungumza na waandishi wa habari wa Tanzania kwa sababu ya upeo wao mdogo.
KAMPENI za uchaguzi mdogo Jimbo la Igunga zinazinduliwa mwishoni mwa wiki huku kukiwa na taarifa kwamba kuna mgawanyiko ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) juu ya ushiriki wa mbunge wa zamani wa j
"MKAPA kaongea !" Hicho chaweza kabisa kuwa kichwa cha habari katika moja ya magazeti yetu. Naam, katika miaka ya karibuni, Rais Mstaafu Benjamin Mkapa amekuwa kimya mno.
KUNA hekima za aina mbili – hekima ya kutoka kichwani na hekima ya kutoka moyoni. Kama kusingekuwa na watu waovu duniani, kusingekuwa na wanasheria mahiri
Charles Dickens na hekima
Maoni ya Wasomaji
Kama kuna demokrasia ya haki, haipaswi mtu yeyote awe juu ya sheria . let spoon be a spoon and folk be a folk period. Katiba ya ccm inasishia hapo tutakapopata mupya.