Muungano

Tumetoka wapi, tuko wapi na tunakwenda wapi? II

Deusdedit Jovin

KATIKA sehemu ya kwanza ya makala hii, toleo lililopita, nilijadili mipango mbalimbali ya maendeleo ambayo ilibuniwa na kutekelezwa na nchi yetu tangu tupate Uhuru mwaka 1961.

Serikali moja, taifa moja au tutengane

Mwandishi Wetu
NDUGU Lula, nimekuwa nikifuatilia makala zako kwenye gazeti la Raia Mwema kwa muda sasa. Nimejifunza na kufurahia sana makala zako kuhusu Muungano huu dhaifu, kati ya Tanganyika na Zanzibar

Kero za Muungano zinapotikisa Umoja wa Kitaifa II

Joseph Mihangwa

KATIKA sehemu  ya kwanza ya makala haya ya gazeti hili, toleo lililopita,  tuliona jinsi  mkataba (Hati) wa Muungano kati ya Tanganyika na Zanzibar ulivyoandaliwa na kutiwa sahihi haraka haraka b

Tuchome Muungano au Makanisa?

Msomaji Raia

KWA mara nyingine, Muungano wa Tanganyika na Zanzibar umezua jambo jipya.

Kuelekea kuuvunja muungano bila kuchomeana vibanda

Lula wa Ndali Mwananzela

NAANDIKA makala hii nikiwa na moyo mzito na machozi. Ninaupenda Muungano wetu na ni tunu ambayo naamini inastahili kutetewa hata kwa damu.

Kila la kheri Zanzibar, bye bye Muungano!

Lula wa Ndali Mwananzela
TUMEFIKA mahali na wakati ambapo yatupasa tuliseme lililo dhahiri; kila la kheri Zanzibar, bye bye Muungano! Hakuna sababu ya kupigania Muungano usiokuwapo; na Muungano usiokuwapo ambao pia ni dhaifu kupita kiasi haufai kutetewa hasa kama hauna watetezi

Wanalivunja Taifa kwa kisingizo cha “kuimarisha” Muungano

Lula wa Ndali Mwananzela

MARA ya mwisho nilipojiangalia nilijikuta bado nina akili timamu na uwezo wangu niliojaliwa na Mwenyezi Mungu wa kupambanua uongo kutoka kwenye ukweli bado ukiwapo.

Jinsi moyo alivyowasuta wanaojaribu kuuvunja umoja wa Wazanzibari

Ahmed Rajab
WIKI iliyopita nilizungumzia kuhusu umuhimu wa nchi kama Zanzibar ya leo kuwa na siasa za umoja badala ya kuwa na siasa za mivutano. Hii ni mivutano yenye kutishia amani ya nchi na hupaliliwa na vyama vya kisiasa

Ya Zanzibar si mageni, hata Uskochi yapo

Evarist Chahali

WIKI iliyopita, Waziri wa Kwanza (First Minister, cheo ambacho ni kama Waziri Mkuu) wa Uskochi, Alex Salmond, alizindua kampeni za chama chake cha Scottish Nationalist Party (SNP

Pages

Subscribe to Muungano