UAMUZI wa Halmashauri Kuu (NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kujivua gamba umekuwa ukipiganiwa na uongozi mpya wa chama hicho, akiwamo Wilson Mukama, Katibu Mkuu mpya huku taarifa zikisema kuna
UNAWEZA kusema kwamba huu ni mwisho wa zama kwa Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge ambao, juzi Jumatatu, chama chao kiliwatosa kwa kuwapa siku 90 kujiondoa katika nafasi walizonazo kwa
MBUNGE wa Igunga, Rostam Aziz, ametajwa kuchukua nafasi ya Mbunge wa Monduli, Edward Lowassa, katika kuongoza kundi linalopingana na la Spika na Mbunge wa Urambo Mashariki, Samuel Sitta, wote w
WENYEWE hawataki kukiri ukweli huu, lakini sasa ni dhahiri kwamba ndani ya Chama cha Mapinduzi (CCM) kuna mapande makubwa mawili; moja likiwa na nguvu bungeni na jingine ndani ya chama, Raia Mwe
KWA tuliopata kuvua samaki kwa mshipi na ndoano tunaelewa inakuwaje inapotokea ukamwaga kwenye maji ya matope bakuli lililojaa vyambo vyako vya kuvulia samaki.
WAKATI nasoma habari kuhusu matajiri watano mashuhuri nchini, ambao ni wafanyabiashara, Said Bakhressa, Gulam Dewji, Rostam Aziz, Reginald Mengi na Ali Mufuruki, nilikumbuka hotuba ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, alipotaja orodha ya kampuni zinazong’ara katika ulipaji kodi serikalini nchini.
“HAKUNA silaha nzuri ya kisiasa kuliko ile ya vitisho, ubabe na unyama. Ukatili humfanya mtu au asasi iogopewe au tawala ziheshimiwe. Walimwengu wanaweza kutuchukia sisi Wajerumani, lakini hatuombi watupende; bali tunachotaka ni wao watuogope
Himmler na ukatili
Maoni ya Wasomaji
Jamani kama ni kutoa maoni basi toeni kwa kiswahili. Kiingereza gani alichotumia kutoa maoni huyo hapo juu!!! Huo ni ujuha. Kuhusu matokeo, nadhani serikali imelenga kufurahisha wapiga kura.