NI wajibu wa Rais kuwafukuza viongozi wanaofanya makosa makubwa na wanaokataa kuwajibika. Ni kazi yake mwenyewe. Mtu anaweza kumsaidia Rais kumnong’oneza waziri wake kujiuzulu lakini hawezi kumsaidia kumfukuza waziri wake. Hiyo ni kazi ya Rais peke yake. Asipoifanya, kosa ni lake peke yake