SASA nilirudie basi hili moja. Wale ambao hatufanyi kazi, tufanye. Hapa Dar es Salaam na Tanzania nzima wale ambao hatufanyi kazi, tufanye. Wale ambao wana kazi tuifanye kazi kwa juhudi yetu yote, kwa maarifa yetu yote, kwa nidhamu safi na kwa uzalendo