Tarime

CHADEMA, polisi mshike mshike

Waandishi Wetu

TUKIO la mauaji na hatimaye kuzikwa kwa watu waliouawa kwa risasi kwenye Mgodi wa Barrick, Nyamongo, wilayani Tarime, limeibua mgongano na utata mkubwa wa taarifa kati ya viongozi wa Chama cha D

Tarime ni siasa za kijungujiko

Maggid Mjengwa

KILA mwenye kufikiri kwa bidii anaelewa kuwa kinachofanyika Tarime si siasa za kawaida bali ni siasa za kijungujiko; uchumi wetu umegeuka kuwa ni wa kijungujiko, na siasa zetu pia!

Busara zimekwenda wapi Tarime?

John Bwire

Hii ni mara ya pili katika wiki mbili kurejea hali ya mambo ilivyo jimboni Tarime. Habari zinazosikika kutoka Tarime kila kukicha zinasikitisha sana.

Tarime: Ubabe wa Watawala, uhuni wa Upinzani

Waandishi Wetu

HALI  ya kisiasa nchini inazidi kuwa mbaya na sasa uchaguzi mdogo wa jimbo la Tarime mkoani Mara, unaelezwa kutumika kama kipimo cha ubabe na uhuni unaoweza kutumika katika uchaguzi mkuu ujao wa

Tarime yatikisika

Mwandishi Wetu

WAKATI Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kikiishutumu Polisi na vyama vya NCCR-Mageuzi na DP kufanya kazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM) katika kampeni za uchaguzi mdogo wa ubunge Jimbo l

Yanayotokea Tarime si ya kubeza

Kejo Sakito

JUMAPILI Oktoba 12, 2008, utafanyika uchaguzi mdogo wa Mbunge wa Jimbo la Tarime na Diwani wa Kata ya Tarime Mjini kufuatia kufariki dunia kwa Chacha Wangwe aliyekuwa Mbunge na Diwani miezi miwil

Tarime waiadhibu CCM, kwa niaba ya Taifa!

Lula wa Ndali Mwananzela

SIJUI kitabu wanachotumia Chama cha Mapinduzi (CCM) kushinda uchaguzi kina kurasa ngapi.

Tulihubiri ukweli Tarime - CHADEMA

Mwandishi Wetu

KATIBU Mkuu wa CHADEMA, Wilbroad Slaa anasema ushindi wa mgombea wa chama chake katika Uchaguzi Mdogo wa Tarime unatokana  kuhubiri ukweli, kuwapenda  wananchi na wananchi wenyewe kuwa msimamo.

Tarime wameonyesha njia, wengine wataonyesha nia?

Lula wa Ndali Mwananzela

WALIKUJA kwa mbwembwe na madai ya kuudhi, wakabwagwa; walikuja na vitisho kwa watu wa Tarime, wakabwagwa; walikuja na viongozi wao na timu nzima ya wenye fedha wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Kanda

Wapinzani onyesheni uongozi Tarime

Lula wa Ndali Mwananzela

UONGOZI mzuri hauonekani wakati watu wanashangilia, wakati watu wanakubeba juu juu au kuimbiwa nyimbo za sifa.

Pages

Subscribe to Tarime