MGOMO wa wafanyakazi nchini ambao unaelekea kuungwa mkono na sehemu kubwa ya vyama vya wafanyakazi nchini, umeelezwa kuwa tishio kubwa kwa Serikali ya Rais Jakaya Kikwete kuelekea Uchaguzi Mkuu
MIEZI michache kabla ya Uchaguzi Mkuu, Rais Jakaya Kikwete ameingia katika mgogoro mkubwa na wafanyakazi wanaodai amedanganywa na wasaidizi wake kwa kutumia baadhi ya taarifa zisizo sahihi katik
SERIKALI haikujiandaa kupata wafanyakazi mbadala kama wafanyakazi wa sasa wangeshiriki mgomo uliotishwa na Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi (TUCTA) na wakafukuzwa kama ambavyo Rais Jakaya Kik
TUMESIKIA pande zote zinazohusika katika maandalizi au katika kupinga kusudio la Shirikisho la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA) la kuitisha mgomo wa wafanyakazi wote nchini mwezi ujao
WAKATI Rais Jakaya Kikwete akiahidi nyongeza ya mishahara hususan kima cha chini, Raia Mwema imebaini kuwa hakuna mpaka sasa maafikiano ya kiwango halisi cha kima kipya kati ya
SHIRIKISHO la Vyama vya Wafanyakazi Tanzania (TUCTA), limeanza mchakato utakaohusisha wasomi wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam na Chuo Kikuu Mzumbe kutafiti uwezo wa kiuchumi nchini kama unamudu k
MEI 3, 2010 Taifa lilishuhudia moja ya hotuba chache za mhemuko na mchomo wa moyo (emotional speech) zilizowahi kutolewa na rais wa nchi kulaani na kuhukumu viongozi wa taasisi ya kitaifa
WIKI hii Taifa linaadhimisha miaka 49 ya uhuru wa Tanganyika baada ya harakati za kunyakua uhuru huo zilizoongozwa na Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere kuhitimishwa Desemba 9, 1961.
Hatari moja ya kuendelea kumchagua mtu yule yule kipindi hata kipindi huweza kuleta hofu na wasiwasi nchini. Mabadiliko ni lazima yaje, maana hata kiongozi anayechaguliwa kwa maisha hatima yake atakwenda, maana uhai una mwisho
Nyerere na mabadiliko
Maoni ya Wasomaji
Ndugu mwandishi wa habari hii, nakuomba uje ujibu hizi hoja zilizowekwa hapa juu ya habari yako.