YANGA ipo kwenye mazungumzo na makocha watatu, wawili kutoka Brazil akiwemo kocha wa zamani wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania (Taifa Stars), Marcio Maximo na mwingine ambaye jina lake halikuweza kupatikana- pamoja na Raoul Shungu wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC)
WAINGEREZA wana msemo usemao A still tongue makes a wise head. Kwa tafsiri ya moja kwa moja msemo huu una maana kuwa ulimi uliotulia unatengeneza kichwa chenye busara.
MWISHONI mwa Novemba na mwanzoni mwa Desemba mwaka huu, magazeti mengi ya nchi yetu (Raia Mwema halikuwa miongoni mwao) yalitawaliwa na habari zilizohusu ujio wa kipa mpya wa Yanga
BEKI wa Yanga, Kelvin Yondan ameanza mazoezi mepesi kwenye Uwanja wa Sekondari ya Loyola, Dar es Salaam, ikiwa ni mara ya kwanza tangu agongwe na kiungo wa Simba, Haruna Moshi ‘Boban’ katika mechi baina ya wapinzani hao wa jadi, Oktoba 3, mwaka huu
WIKI nzima kabla ya pambano la watani wa jadi Yanga na Simba za jijini Dar es Salaam, wamachinga walikuwa wanauza bendera za timu hizo sehemu mbali mbali jijini husuani kwenye makutano ya barabara kubwa za jiji
WACHEZAJI wa timu ya soka ya Yanga, wamesema kwamba sasa wanajipanga kwenda kuvunja rekodi ya Coastal Union kutofungwa kwenye Uwanja wao wa nyumbani, Mkwakwani, Tanga Jumamosi wiki hii
KAMATI ya Utendaji ya TFF ya imefanya jambo jema kulimaliza kwa busara kubwa suala la adhabu waliyoitoa kwa Yanga ya kutoshiriki mechi za kimataifa baada ya Shirikisho la vyama vya Soka vya Afrik
NAOMBA tuitazame Yanga na wachezaji wake. Hakuna ubishi kwamba tangu kocha Kostadin Papic aichukue timu ya soka ya Yanga takriban miezi miwili iliyopita, timu hiyo inacheza soka ya hali ya juu mno ya kasi na pasi nyingi
KLABU ya soka ya Yanga ya Dar es Salaam imepokea ofa kutoka klabu mbili tofauti, moja ya Bara la Asia na nyingine ya hapa Afrika zikiwahitaji wachezaji wao mahiri wa kigeni, kiungo Haruna Niyonzima kutoka Rwanda na mshambuliaji Didier Kavumbangu kutoka Burundi.
KITU tunachokipinga na cha hatari kuhusu wanaharakati hawa wenye misimamo mikali si ni ukali wa misimamo yao; bali ni kuishiwa kwao na uvumilivu. Uovu wao si kuhusu kile wanachokieleza kuhusu malengo yao; bali kile wanachowapakazia maadui wao
Bob Kennedy na uvumilivu
Maoni ya Wasomaji
KWA NINI WAIALAMU HAWASIKILIZWI, MAONI YAO HAYAJAPEWA NAFASI KWENYE RASIMU YA KATIBA. TUNATAKA MAPUNZIKO IJUMAA, MAHAKAMA YA KADHI NA NCHI KUJIUNGA NA OIC