Hifadhi: Tahariri

Kifungo dhidi ya gazeti la Mawio si sahihi

KWA mara nyingine, Juni 15, 2017, serikali kupitia Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni, Sanaa na Michezo, ilifungia uchapishaji na usambazaji wa gazeti la kila wiki la Mawio kwa miaka miwili. Uamuzi huo umetajwa kufikiwa na serikali kwa kuwa gazeti hilo la Mawio limechapisha picha za

Katika bajeti Bunge ni moja tu, si Bunge la CCM wala Upinzani

JUMATATU wiki hii, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liliendelea na mkutano wake wa bajeti. Siku hiyo, pamoja na mambo mengine, Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni ilipewa nafasi ya kuwasilisha bajeti mbadala wa ile ya serikali kwa mwaka wa fedha 2017/2018. Kwa sehemu kubwa

Wabunge wajiheshimu, busara itawale bungeni

JUMATATU wiki hii, Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania liliazimia kuwafungia wabunge wake wawili kushiriki mikutano mitatu mfululizo ya muhimili huo wa taifa katika kutunga sheria na kuisimamia serikali. Wabunge hao ni Ester Bulaya wa Bunda Mjini, mkoani Mara na Mbunge wa Kawe, jijini

Songa mbele Magufuli

MEI 24,mwaka huu, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dk. John Magufuli alipokea ripoti ya kamati ya kwanza aliyoiunda kuchunguza shehena ya makontena yenye makinikia, maarufu kama mchanga wa dhahabu, yaliyozuiliwa katika Bandari ya Dar es Salaam na maeneo mengine nchini tangu mwezi Machi,

Mahakama nchini ijieleze kujiuzulu kwa majaji wake

MEI 16, 2017, Ikulu ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilitoa taarifa rasmi kuhusu maombi ya kujiuzulu kwa viongozi watatu. Mmoja wa viongozi hao ni kutoka serikalini, Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Saidi Meck Sadiki. Wengine ni Jaji wa Mahakama Kuu ya Jamhuri

‘Tunaacha utando katika kila tunachogusa’

MIRCEA Eliade, mwanafalsafa na mwanahistoria wa dini, anatueleza kuwa historia ya dini ni kongwe kama ilivyo historia ya mwanadamu mwenyewe. Kwa maneno mengine, ni ngumu sana kusema ni lini hasa binadamu alipoanza kuwa mtu wa imani. Hatujui mwaka wala karne. Hapa hatuzungumzii dini zetu kubwa

Maneno hayawezi kueleza huzuni yetu

KWA mara nyingine tena, ajali ya barabarani imepoteza maisha ya Watanzania –safari hii wengi wakiwa vijana wadogo ambao wazazi na jamii kwa ujumla ilikuwa na matumaini makubwa kwao. Kwa wastani wa umri wa waliopoteza maisha, tunaweza kusema kwamba pengine hii ndiyo ajali mbaya zaidi kutokea