MIGOGORO ya ardhi kati ya wananchi na wawekezaji inakua kwa kasi na kuchukua sura mpya nchini. Anapokuja ‘mgeni’ kwa jina la ‘mwekezaji’, matendo ya serikali yetu yanapingana na msemo usemao ‘mgeni njoo mwenyeji apone’; bali inakuwa ‘mgeni njoo mwenyeji atabike